速報APP / 圖書與參考資源 / Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika

價格:免費

檔案大小:44.1 MB

版本需求:需要 iOS 8.0 或以上版本。與 iPhone、iPad 及 iPod touch 相容。

支援語言:英語

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache(圖1)-速報App

Sira ya Mtume (ya kuisoma) katika dakika chache:

Sifa na vipengele vya kitabu

1. Kijitabu cha kwanza cha mfukonikinachohusu Sira ya

Mtume (S.A.W), ili kiwe pamoja nawe safariniau

nyumbani.

2. Ni Kijitabu kilicho chepesi kukibeba, kidogo, chenye

manufaa mengi, na maana makini.

3. Kijitabu hichi kimekusanya utukufu wa Sira, uzuri wa

mwendowa Mtume (S.A.W), Sunna iliyo safi sana, na

alama za mbinu zake.

4. Matini zake zimechaguliwa miongoni mwa mapokeo

mengi ili kufikia lengo kwa maneno machache.

5. Hakina mapokeo yasiyoaminika wala Hadithi dhaifu,

bali imetolewa kwa makini.

6. Utungaji wake umetegemea Qur‘ani na Hadithi za

Mtume (S.A.W) tu.

7. Kijitabu hichi kinachambua hadhi ya manabii na

heshima zao.

8. Kina maelezo mafupi kuhusu Nabii Ibrahim, Musa, na

Issa (A.S).

9. Kina matukio muhimusana ya Sira yake Mtume

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache(圖2)-速報App

(S.A.W).

6

10. Kina muhtasari wa sifa za Mtume (S.A.W), tabia zake

njema, na dalili za unabii wake.

11. Kina maelezo ya kijumla kuhusu nguzo za Uislamu,

misingi yake, na sheria zake.

12. Kina zaidi ya Aya300 za Qur‘ani na zaidi ya

Hadithi1100 za Mtume (S.A.W) .

13. Kina zaidi ya anuani 500.

14. Kina ufafanuzi wa maneno magumu, maeneo, na

makabila ambayo ni zaidi ya 430.

15. Kina zaidi ya Wahusika (100), na zaidi ya maeneo, na

makabila (200).

16. Kimeandaliwa katika mpangilio wa utaratibu wa

matukio kadiri iwezekanavyo.

17. Kimeandikwa kwa mtindo mwanana wa kifasihi, usio

wa kurefusha au kurudiarudia.

18. Kimeandikwa kwa kufuata kanuni za uandishi

unaokubalika.

19. Kimesomwa, kimepitiwa na kuhaririwa na zaidi ya

wanazuoni,maulamaana nawatafiti 30 waliobobea katika

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache(圖3)-速報App

nyanja hii.

20. Kimefasiriwa kwa zaidi ya lugha 25

Sira ya Mtume (ya kuisoma) Katika Dakika Chache(圖4)-速報App

支援平台:iPhone, iPad