速報APP / 新聞與雜誌 / Gazeti - Magazeti ya Leo

Gazeti - Magazeti ya Leo

價格:免費

更新日期:2019-08-05

檔案大小:7.9M

目前版本:1.3

版本需求:Android 4.1 以上版本

官方網站:https://digitalwebbase.com/

Email:info@tanzaniatech.co.tz

聯絡地址:P.O.Box 31509 Dar es Salaam, Tanzania

Gazeti - Magazeti ya Leo(圖1)-速報App

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.

Gazeti - Magazeti ya Leo(圖2)-速報App

Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.

Gazeti - Magazeti ya Leo(圖3)-速報App

Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.

Gazeti - Magazeti ya Leo(圖4)-速報App

* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

Gazeti - Magazeti ya Leo(圖5)-速報App

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

Gazeti - Magazeti ya Leo(圖6)-速報App

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....