速報APP / 圖書與參考資源 / Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili B

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili B

價格:免費

更新日期:2018-04-01

檔案大小:2.6M

目前版本:5.0.0.2

版本需求:Android 4.0.3 以上版本

官方網站:mailto:redaplicativos@gmail.com

Email:https://sites.google.com/site/privacy23apps77

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible(圖1)-速報App

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno la Kigiriki βιβλια, "biblia" ambalo ni wingi wa neno "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

MAANDIKO YA KIGIRIKI YA KIKRISTO

Mathayo

Marko

Luka

Yohana

Matendo

Waroma

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible(圖2)-速報App

1 Wakorintho

2 Wakorintho

Wagalatia

Waefeso

Wafilipi

Wakolosai

1 Wathesalonike

2 Wathesalonike

1 Timotheo

2 Timotheo

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible(圖3)-速報App

Tito

Filemoni

Waebrania

Yakobo

1 Petro

2 Petro

1 Yohana

2 Yohana

3 Yohana

Yuda

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible(圖4)-速報App

Ufunuo

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible(圖5)-速報App