價格:免費
更新日期:2015-08-13
檔案大小:9.3M
目前版本:1.2
版本需求:Android 2.3.3 以上版本
官方網站:mailto:OMANIMUSLIM2@gmail.com
Email:https://docs.google.com/document/d/e/2PACX-1vQkdWSIgFLfYgxANHeCdYFK1yHSkJM_C6_vkh8srNgA5GX6zLRaVqAgtHFKlAFGQOmDrX0Bxrsd6SNq/pub
سؤال وجواب في الإباضية والصلاة
تطبيق بسيط مأخوذ من كتيب س ج في الإباضية والصلاة للأستاذ حمد المعولي والذي أصدره شباب نور الاستقامة.
يهدف إلى إعطاء نبذة مختصرة عن المذهب الإباضي -أول مذهب في الإسلام- وتقديم الصورة الحقيقية له للناس بعيدا عن ادعاءات وافتراءات المغرضين والحاقدين، باربع لغات مختلفة (العربية+الإنجليزي السواحيلية+الأوردو) وها نحن أيها القارئ الكريم ندعوك للقراءة بتجرد من جميع الأهواء والتعصبات لأخذ المعلومة من مصدرها الصحيح، هدانا الله وإياك إلى الصراط المستقيم.
ملاحظة: تتوفر كتيبات مطبوعة تحتوي على مادة هذا التطبيق، للطلب والحجز:
92228166 أو 93277119
In the name of God the Merciful
The application of the Q & A in Ibadi doctrine and prayer
Simplified program offers you - dear reader - valuable information and simplified Ebadi doctrine - the oldest Islamic sects -
Opportunity for those looking for the truth and knowledge that take information from the right source. Not the people who wrote fanatics
Welcome any inquiry or ideas
Greetings
shabab Noor Al-istiqama
بسم الله الرحمن الرحيم
Baada ya kumshukuru Allah mtukufu, na kumtakia Rehma na Amani kipenzi wetu Mtume wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba wake na kila mwenye kufuata uongofu wake mpaka siku ya malipo.
Ninachukua fursa hii kwa kuwaletea yaliyomo katika kitabu kilicho chepesi kufahamika, mafupi maelezo yake, na nyingi elimu yake, nacho ni uandishi wa ndugu yetu Ust. Muhammed Al maawaliy, basi ndugu zangu tufaidike na yaliyomo katika kitabu hichi, ama mwenye kua na suala au kutaka maelezo zaidi, anaweza kuwasiliana na wanaelimu wa kiibadhi pale walipo, au kuandika baruapepe Ibadhisafi@hotmail.com ili faida izidi iweze kupatikana kwa atakayotuma, pia ifahamike kua nimefanya baadhi ya uhakiki wa hadithi zilizotajwa
katika kitabu hichi, vile vile kila utapoona yaliyomo baina ya mabano mawili, ujue kua aghalabu ya hayo yanakua ni nyongeza yetu, na hatukufanya haya isipokua kwa kutarajia kupata mazuri yaliyo kwa Allah mtukufu katika njia ya kuifikisha Haki kwa waja wake.
Wabilahi taufiqi.
Ndugu yako
Hafidh. H. Seif Al sawafi
Shukurani zote ni kwa Allah mtukufu, yeye ndiye Mola wa walimwengu wote, na rehma na amani ziwe kwa bwana wetu Muhammad, Nabii muaminiwa, na kwa Aali zake, na Masahaba wake watimizaji ahadi, walio wachamungu.
Baada ya hayo,,,
Ndugu zangu, pokeeni kurasa hizi tunazokuleteeni; kwani ndani yake umo ufupisho mwepesi, ulio katika mfumo wa suali na jawabu, katika yale yanayohusu dhehebu la ibadhi, basi utakuta mengi yanayohusiana na hakika zao kiujumla, na yale yanayohusiana na sala yao kiuanisho.
Tunamuomba Allah mtukufu atujaalie sisi na nyinyi kua miongoni mwa wanaosikia neno zuri na wakafuata ya wema, na atuoneshe haki na atuwezeshe kuifuata.
Na Allah ndiye msimamizi wa kuwezesha katika mema......