速報APP / 工具 / kopafasta

kopafasta

價格:免費

更新日期:2019-07-04

檔案大小:6.5M

目前版本:1.0.6

版本需求:Android 4.1 以上版本

官方網站:https://www.datavision.co.tz/kopafastas-impact-on-financial-inclusion-in-bagamoyo/

Email:info@datavision.co.tz

聯絡地址:Garden Road, Mikocheni Area, Dar es Salaam.

kopafasta(圖1)-速報App

kopafasta ni huduma ya utoaji mikopo kwa makundi ya sekta isiyo rasmi kama wasanii wa sanaa za ufundi na Wafanyakazi wa kampuni binasfi za Ulinzi. Pia mipango iko mbioni kuanza kutoa mikopo kwa makundi mengine yaliyo katika sekta isiyo rasmi na kwa watu binafsi kupitia mawakala wa kopafasta.

kopafasta(圖2)-速報App

Mikopo hii hutolewa kwa njia ya kielektoniki. Mwanachama anatakiwa kuwa na kadi ya mkopo ambayo atapiga picha (scan) taarifa za siri kwenye kadi yake, kutoka kwenye App ya kopafasta na kuingia kwenye akaunti yake ambapo atachagua kiasi,na baada ya kukubali mkopo atapokea kiasi hicho kupitia akaunti yake ya pesa ya simu ya Mkononi kama vile Tigo pesa, M pesa, Halopesa, n.k.

kopafasta(圖3)-速報App

Kadi ya mkopo inapatikana baada ya kuandikishwa katika miradi ya TACIP (Kwa Wasanii) na PSG-P kwa Walinzi wa kampuni binafsi za Ulinzi.

kopafasta(圖4)-速報App

Kwa makundi mengineyo na kupitia mawakala tafadhali fuatilia tovuti yetu www.kopafasta.co.tz au piga 0742024747

kopafasta(圖5)-速報App

kopafasta(圖6)-速報App