速報APP / 圖書與參考資源 / Jifunze Ushairi

Jifunze Ushairi

價格:免費

更新日期:2018-10-05

檔案大小:5.2M

目前版本:1.6

版本需求:Android 4.2 以上版本

官方網站:http://www.mwanagenzi.com

Email:mwanagenzi@gmail.com

聯絡地址:Nairobi, Kenya

Jifunze Ushairi(圖1)-速報App

Jifunze Ushairi ni programu kutoka kwa Mwanagenzi Mtafiti (www.mwanagenzi.com). Imeundwa kumsaidia mwanafunzi wa ushairi au mshairi chipukizi anayejifunza kutunga mashairi ya Kiswahili. Imeundwa kwa ufundi wa hali ya juu na inatumia Kiswahili kama lugha ya msingi.

Vidokezo:

- Soma makala mbalimbali kuhusu Ushairi; Dhana, Uainishaji, Uhakiki na mifano ya mashairi.

- Elekezwa kutunga mashairi hatua kwa hatua ukisoma nguzo muhimu katika utunzi wa mashairi.

Jifunze Ushairi(圖2)-速報App

- Mpangilio aali wa programu unaopendeza.

- Jiburudishe kwa mchezo wa kujibu maswali ya Ushairi.

- Pata Alama zako na majibu ya maswali yote uliyoyajibu.

- Hifadhi makala ili iwe rahisi kuyapata na kuyasoma baadaye.

Jifunze Ushairi(圖3)-速報App

- Pokea arifa punde tu tunapochapisha makala mapya.

- Badilisha ukubwa wa fonti ili ukufae kusoma unavyopenda.

- Shirikisha rafiki kwa kumtumia baadhi ya maelezo.

- Utasoma makala yote bila kuwa hewani kwa mtandao.

Jifunze Ushairi(圖4)-速報App

Ni tumaini letu kuwa huduma hii itakupendeza.

Shukran

Jifunze Ushairi(圖5)-速報App